×

Mjue Robert Mugabe: Mwamba Aliyepania Kuwakomesha Mabeberu – Wakakoma Watu Wake – Video


Ukisikia watu wanasema tuko nyuma yako ‘be careful’ maana ukigeuka unaweza usiwakute. Hii nimeiona ‘live’ kwa Robert Mugabe pale alipojitoa muhanga kuwakwida mabeberu kwa maslahi ya Afrika, wakaumia wananchi wake kwa vikwazo vya uchumi na diplomasia, viongozi wa Afrika wakamtelekeza, leo hii amekufa viongozi wanashindana kumsifia Mugabe kwa mbwembwe na mikogo kwa sababu marehemu hatukanwi. Haya ndiyo maajabu makuu ya viongozi wa Afrika!

Tatizo la Afrika ukiwa kiongozi mzuri ni sawa na kuchagua kifo, wasipokuua basi watakukwamisha kama walivyomkwamisha Nyerere na ujamaa wake, Mandela na msahama wake, Kaunda na suti zake na Mugabe na misimamo yake.

Leave a Comment