Msanii wa Bongo Fleva kutoka Kundi la Madada Sita lililokuwa chini ya Lebo ya Mkubwa na Wanaye, Wegesa Richard @catrimah_richie ameeleza jinsi alivyoshikwa mkono na mwanamuziki @Asleyisihaka na jinsi alivyokutanishwa naye na Dulla Makabila.