
Aliyekuwa muigizaji wa Bongomuvi anayefahamika kwa jina la Nuru (Aunt Lulu) amefanya mahojiano na Global TV na kufunguka mengi kuhusiana na aliyopitia nyakati ambazo mama yake alipofariki Dunia.
Aunt Lulu ameeleza kwamba nyakati alipokuwa msibani Baba yake alizungumza maneno makali ikiwemo kuhusishwa kuhusika na kifo cha mama yake lakini pia Baba yake alimfukuza Aunt Lulu msibani.