×
Global Publishers
  • Home
  • Habari
    • Kimataifa
    • Kitaifa
  • Global TV
  • Magazeti
  • Ajira
  • Burudani
    • Audio Music
    • Music Videos
    • Dar Live
  • Michezo
  • Makala
    • Afya
    • Mahaba & Maisha
    • Burudani
    • Hadithi
    • Mikasa
    • Siasa
  1. Home
  2. Habari
  3. Dkt. Nchimbi Ashiriki Uzinduzi wa Treni ya Umeme (SGR) – Video

Dkt. Nchimbi Ashiriki Uzinduzi wa Treni ya Umeme (SGR) – Video

Global Publishers August 1, 2024 4,672 views 0 Comments
SHARE THIS:
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akishiriki ratiba mbalimbali za uzinduzi rasmi wa mradi wa kimkakati wa treni ya umeme (SGR), kutoka Dar Es Salaam hadi Dodoma, kupitia Morogoro, uliofanywa na Mgeni Rasmi, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, leo Alhamis, Agosti 1, 2024.
Shughuli ya uzinduzi rasmi ilihusisha pia Mgeni Rasmi Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na maelfu ya wananchi waliojitokeza katika vituo vya treni hiyo kumlaki na kumsikiliza wakati akisafiri na treni hiyo kutoka Dar Es Salaam hadi Dodoma.

SHARE THIS:
Previous Next

Related Posts

ORAIMO Wazindua Earbuds Mpya, FREEPOD 4, Slide Into Your World - Global Publishers HABARI

ORAIMO Wazindua Earbuds Mpya, FREEPOD 4, Slide Into Your World

February 27, 2023
FIFA Yaiadhibu Afrika Kusini kwa Kumchezesha Mchezaji Asiye na Sifa - Global Publishers HABARI

FIFA Yaiadhibu Afrika Kusini kwa Kumchezesha Mchezaji Asiye na Sifa

September 30, 2025
Vyuo Vyatoa Scholarship Kwa Wanafunzi Maonyesho Elimu Ya Juu Zanzibar - Global Publishers HABARI

Vyuo Vyatoa Scholarship Kwa Wanafunzi Maonyesho Elimu Ya Juu Zanzibar

July 19, 2024
Waziri Kombo Apokea Magari Mawili kutoka Qatar - Global Publishers HABARI

Waziri Kombo Apokea Magari Mawili kutoka Qatar

November 28, 2025

Leave a Comment Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

DAKTARI

GLOBAL TV Online




SIMBA
YANGA
NEWS
Global Publishers
  • About Us
Download on the App Store
Get it on Google Play

© 2026 Global Publishers. All Rights Reserved.

Designed by Yatosha Web Services