×
Global Publishers
  • Home
  • Habari
    • Kimataifa
    • Kitaifa
  • Global TV
  • Magazeti
  • Ajira
  • Burudani
    • Audio Music
    • Music Videos
    • Dar Live
  • Michezo
  • Makala
    • Afya
    • Mahaba & Maisha
    • Burudani
    • Hadithi
    • Mikasa
    • Siasa
  1. Home
  2. Habari
  3. Dkt. Nchimbi Ashiriki Uzinduzi wa Treni ya Umeme (SGR) – Video

Dkt. Nchimbi Ashiriki Uzinduzi wa Treni ya Umeme (SGR) – Video

Global Publishers August 1, 2024 4,672 views 0 Comments
SHARE THIS:
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akishiriki ratiba mbalimbali za uzinduzi rasmi wa mradi wa kimkakati wa treni ya umeme (SGR), kutoka Dar Es Salaam hadi Dodoma, kupitia Morogoro, uliofanywa na Mgeni Rasmi, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, leo Alhamis, Agosti 1, 2024.
Shughuli ya uzinduzi rasmi ilihusisha pia Mgeni Rasmi Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na maelfu ya wananchi waliojitokeza katika vituo vya treni hiyo kumlaki na kumsikiliza wakati akisafiri na treni hiyo kutoka Dar Es Salaam hadi Dodoma.

SHARE THIS:
Previous Next

Related Posts

Nafasi za Kazi Jeshi la Polisi Tanzania - Global Publishers AJIRA

Nafasi za Kazi Jeshi la Polisi Tanzania

August 19, 2021
Serikali Yafafanua  Uhaba wa Mafuta ya Kupikia - Global Publishers HABARI

Serikali Yafafanua Uhaba wa Mafuta ya Kupikia

January 13, 2021
Mapya Yaibuka , Shahidi Kutoka Tigo Akana Kumfahamu Mbowe Mbele Ya Jaji-Video - Global Publishers HABARI

Mapya Yaibuka , Shahidi Kutoka Tigo Akana Kumfahamu Mbowe Mbele Ya Jaji-Video

November 3, 2021
Kwa staili hii, tumeibiwa sana Katika Miradi ya Maendeleo - Global Publishers HABARI

Kwa staili hii, tumeibiwa sana Katika Miradi ya Maendeleo

April 18, 2017

Leave a Comment Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

DAKTARI

GLOBAL TV Online




SIMBA
YANGA
NEWS
Global Publishers
  • About Us
Download on the App Store
Get it on Google Play

© 2026 Global Publishers. All Rights Reserved.

Designed by Yatosha Web Services