×

Chatanda Asimikwa Kuwa mzee wa Kimila Kanda ya Ziwa

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Mary Chatanda (MCC) amesimikwa rasmi kuwa mzee wa kimila wa Kanda ya Ziwa, leo 6 Agosti 2024 Sengerema – Mwanza

Pichani: Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Mary Chatanda (MCC)

Katika tukio hilo, Mwenyekiti wa UWT Taifa na Katibu Mkuu wa UWT walisimikwa kuwa wazee wa kimila na wazee wa Wilaya ya Sengerema.

Leave a Comment