Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Mary Chatanda awasili wilaya ya Misungwi Mkoa wa Mwanza kuendelea na Ziara yake ya Kikazi ndani ya Mkoa huo ambapo leo ikiwa ni siku ya pili atakagua Miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya Wilaya hiyo pamoja na na utelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) pamoja na kuzunguza na wananchi wa wilaya hiyo.

Lakini pia katika ziara hiyo ameambatana na Katibu wa umoja wa wanawake Taifa Suzan kunambi, Pamoja na wabunge wa viti maalumu Mkoa wa Mwanza.
