×

Rais Samia Amteua Dkt. Pindi Chana kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Pindi Chana kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii akichukua nafasi ya Angellah Kairuki aliyeteuliwa kuwa Mshauri wa Rais

Kabla ya Uteuzi, Dkt. Pindi Chana alikuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Leave a Comment