Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini @mulerwa_queen amefunguka kupitia @255globalradio na @globaltvonline kupitia kipindi cha Bongo 255 na kueleza kuwa kupitia nyimbo ya Msanii wa Muziki Ay pamoja na Marioo imemuingizia kazi nyingi ambayo ataziachia muda wowote.