Rais Samia Afunga Zoezi La Medani Katika Kuadhimisha Miaka 60 Ya JWTZ, Msata-Pwani (Picha +Video)
Global Publishers August 23, 2024 0 Comments
SHARE THIS:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wakufunga Zoezi la Medani katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Pongwe Msungura, Msata mkoani Pwani, leo tarehe 23 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga zoezi la Medani katika kuadhimisha Miaka 60 ya JWTZ Msata-Pwani, leo tarehe 23 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Askari wa vikundi mbalimbali vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ambao walishiriki kwenye zoezi la Medani wakati wa shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Pongwe Msungura, Msata Mkoani Pwani tarehe 23 Agosti, 2024.Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga Zoezi la Medani katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Pongwe Msungura, Msata mkoani Pwani tarehe 23 Agosti, 2024