×

Jirani Alimuona Ezania Kwenye Gari La Mpenzi Wake Siku Ya Tukio – Video


Global TV imefika nyumbani kwa mwanadada Ezenia Stanley ambaye Jeshi la Polisi limetoa taarifa kwamba ameuawa kikatili na mwili wake kutenganishwa na anayedaiwa kuwa alikuwa mpenzi wake, chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi.

Huyu ni jirani ambaye alimuona mwanadada huyo akiingia kwenye gari la mwanaume anayetajwa kuwa ndiye aliyemfanyia ukatili huo.

Leave a Comment