×

Unataka Mkwanja? Upo Meridianbet Leo

Sikia unataka mkwanja? Jibu lako ni Meridianbet ambapo kama utafanikiwa kutengeneza jamvi lako kupitia michezo mikali ambayo itapigwa leo utakua umepata uhakika wa kunyakua mzigo wa kutosha. 

Michuano itakayopigwa ni ligi kuu ya Hispania La liga na michuano ya kufuzu ligi ya mabingwa barani ulaya hatua ya makundi kwa msimu wa 2024/25, Itapigwa michezo kadhaa ambayo imepewa Odds bomba kabisa.

Kwenye La Liga leo klabu ya Fc Barcelona watakua ugenini dhidi ya klabu ya Rayo Vallecano kutafuta ushindi wao wa tatu katika ligi kuu ya Hispania, Ambapo wameshafanikiwa kushinda michezo miwili ya awali.

Bado mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wanaendelea kuhakikisha unapigwa mkwanja wa kutosha kupitia michezo mbalimbali inayopigwa kila siku bila kusahau wanaendelea kumwaga ODDS BOMBA kila siku.

Galatasaray leo watakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Young Boys kutoka nchini Uswisi katika mchezo wa marudiano ambao utatoa tiketi ya kufuzu hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa ulaya msimu wa 2024/25, Ambapo mchezo wa kwanza Galatasaray walipoteza kwa mabao 3-2 hivo leo wanahitaji ushindi ili kufuzu.

Aidha klabu ya Fc Salzburg wao watakua nyumbani dhidi ya Dynamo Kyiv baada ya kushinda ugenini mchezo wa kwanza, Hivo leo watahitaji kupata ushindi wa aina yyeote au sare ili kusonga mbele kwenye hatua ambayo inafuata.

Leave a Comment