×

CCM Yampongeza Ndugulile Kwa Kuchaguliwa Kuwa Mkurugenzi Wa (WHO) Kanda Ya Afrika

Dkt. Faustine Ndugulile (Mbunge wa Jimbo la Kigamboni), amechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) , Kanda ya Afrika katika uchaguzi uliofanyika leo Jumanne, tarehe 28 Agosti 2024 mjini Brazzaville, Jamhuri ya Congo.

Dkt. Ndugulile amewashinda wagombea wengine watatu kutoka Senegal, Niger na Rwanda.

Leave a Comment