×

Msikilize Mshiriki wa Tanzania katika Mashindano ya Dunia ya Quran – Video

Mshiriki wa Tanzania katika Mashindano ya Dunia ya Quran, Sumaiya Othman.

Msikilize mshiriki wa Tanzania katika Mashindano ya Dunia ya Quran, Sumaiya Othman (13) alivyofanya makubwa jukwaani katika mashindano hayo yanayofanyika leo, Agosti 31, 2024 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.

Zawadi mbalimbali zinaendelea kutolewa kwa washiriki na washindi ambapo mgeni rasmi ni Rais Samia Suluhu Hassan.

Leave a Comment