
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewakabidhi zawadi washindi wa mashindano ya Dunia ya Qur’an tukufu kwa Wanawake yaliyofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Agosti, 2024.

Matukio picha katika Mashindano ya Dunia ya Qur’an tukufu kwa Wanawake Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 31 Agosti, 2024 ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.


View this post on Instagram