×

Rais Samia Atengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Longido, Marko Henry Ng’umbi

Mkuu wa Wilaya ya Longido, Marko Henry Ng’umbi

Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Longido, Marko Henry Ng’umbi, ikiwa ni muda mfupi baada ya kusambaa kwa video fupi ikimuonesha anazungumzia masuala ya uchaguzi wa Mwaka 2020

Katika ‘clip’ hiyo, Ng’umbi ameonekana akieleza kuwa Serikali ilikuwa na ‘mchango mkubwa’ katika kuwawezesha Madiwani kupita bila kupingwa na hatimaye kushinda kwenye Uchaguzi wa Mwaka 2020

Leave a Comment