Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Watanzania wakiwemo wafanyakazi, wanafunzi na wafanyabiashara wanaoishi nchini China (Diaspora) kwenye mkutano uliofanyika Jijini Beijing tarehe 06 Septemba, 2024.