×

Saratani Ilivyochukua Maisha Ya Mume Wa Mrembo Huyu, Aacha Watoto 6 – Video

Mwanadada Anna Akyoo ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya kuuza magari ya @akyoo_motors amesimulia mapito aliyopitia ya kumuuguza mumewe kwa takribani miaka minne kabla ya kutwaliwa na mwenyezi Mungu.

Anna ameongezea zaidi kuwa marehemu mumewe amemuachia watoto sita ambao kwa sasa yupo anawalea peke yake.

Leave a Comment