×

Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Kakonko, Mwisho wa kutuma maombi Septemba 30

Mkurugenzi Mtendaji amepata kibali kipya cha ajira kwa ikama ya mwaka 2023/2024 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25.06.2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kufuatia kibali hicho Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko anakaribisha maombi kwa watanzania wenye sifa za kujaza nafasi za kazi zifuatazo:-

-MTENDAJI WA KIJIJI III – NAFASI (05)
-DEREVA II NAFASI (02)
-MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II NAFASI (05)
-MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II NAFASI (02)

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30/09/2024.

BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI >> TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO 

MZOZO WAIBUKA – RAIS TSHISEKEDI AITAKA JUMUIYA YA KIMATAIFA KUIWEKEA VIKWAZO RWANDA…

 


 

Leave a Comment