Jeshi la Polisi Mkoa wa Unguja, limeeleza kuwa mwili wa askari wa jeshi hilo, SGT Haji Machano aliyekuwa amepotea tangu Agosti 8, 2024, umekutwa ukiwa umeharibika vibaya msituni.