×

Mabosi Wote wanatumia Phantom V Fold2 5G, Unaionaje

Ukitaka kuitwa boss kwa uhakika itabidi uwe na hili tambo!

Kwa sasa PHANTOM V Fold2 5G ni simu pekee kwa wale wanaopenda simu za hali ya juu. Simu mpya ya kukunjika, PHANTOM V Fold2 5G, inakuja na teknolojia ya AI inayorahisisha kazi, ikiwa bora kwa wataalamu na wabunifu. Ukiwa na PHANTOM V Pen, unaweza kuchora, kuandika notes, na ku control simu kwa urahisi.

TECNO inakaribisha wateja wao katika maduka ya @tecnoexclusiveshop ili kupata uzoefu wa toleo hili na si lazima kununua fika ujionee mabadiliko haya makubwa. Unaponunua, unapata SMARTWATCH na EARBUDS bure.

Leave a Comment