×

Ligi Kubwa Barani Ulaya Kukupa Mkwanja Kupitia Meridianbet

Klabu ya Fc Barcelona imeonekana kuja kitofauti msimu huu kwenye ligi kuu ya soka nchini Hispania, Kwani mpaka sasa wanaongoza msimamo wa ligi hiyo wakiwa na alama 24 kwenye michezo tisa mbayo tayari wamecheza.

Klabu hiyo kutoka Catalans ambayo haikua na msimu bora mwaka 2023/24 chini ya kocha Xavi Hernandez, Lakini msimu huu wamefanikiwa kuanza vizuri chini ya kocha Hans Flick ambapo wamefanikiwa kushinda michezo nane mpaka sasa na kupoteza mchezo mmoja tu.

Mahasimu wao klabu ya Real Madrid wao nao hawapo mbali kwenye msimamo wa ligi hiyo wakikamata nafasi ya pili kwenye baada ya kucheza michezo tisa na wao wakikusanya jumla ya alama 21, Ambapo wao hawajapoteza mchezo hata mmoja wao wamesuluhu michezo mitatu.

Barcelona kufanya vizuri msimu huu chini ya kocha mpya Hans Flick sio jambo ambalo lilitarajiwa kwa haraka kwani kwa kiwango kikubwa ilionekana kocha huyo angekuja na kuanza kutengeneza timu taratibu, Lakini mambo yamekua tofauti ambapo kocha huyo ameonekana kutengeneza timu lakini matokeo yamekua kipaumbele chake.

Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko mahala pengine, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.

Kutokana na mwenendo wa ligi kuu nchini Hispania mpaka sasa klabu ya Barcelona wapo kileleni wakiwa na alama 24, Huku Real Madrid wakiwa nafasi ya pili na alama zao 21 na mchezo wa El Clasico ambao utawakutanisha upo karibuni kwani utachezwa Oktoba 26 jivo mchezo huu unaonekana unaweza kutoa taswira nzuri ya ubingwa msimu huu.

Leave a Comment