×

Nafasi ya Kuwa Milionea Ipo Meridianbet Tuu

Mechi ya mwisho Hispania leo ni hii ya FC Barcelona VS Sevilla ambapo vijana wa Hans Flick akihitaji ushindi huu kwa hali na mali ili iweze kujikita kileleni zaidi. Mgeni naye anazitolea macho hizo hizo pointi 3 ili aapende hadi nafasi ya 8. Beti mechi hii yenye ODDS 1.27 kwa 8.82.

Baada ya jana EPL kuendelea leo pia kuna mechi mbili sana mapema kabisa Manchester City atakuwa mgeni wa Wolves ambaye ana hali sana kwenye ligi kwani mpaka sasa kwenye mechi 7 alizocheza hajashinda hata moja. Pep anahitaji ushindi kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuwania ubingwa. Je Wolves watapata ushindi wa kwanza leo?. Mechi hii ina ODDS 9.01 kwa 1.27. Jisajili hapa.

Na mechi inayosubiriwa kwa hamu kabisa leo ni hii ya Liverpool VS Chelsea ambapo mara ya mwisho kukutana, The Blues walipigika. Lakini sasa vijana hao wa Darajani wana kocha mpya huku wakikusanya pointi 14 kwenye mechi 7 walizocheza. Meridianbet wanampa nafasi ya ushindi Jogoo wa Anfield kwa ODDS 1.59 kwa 4.70. Bashiri hapa.

Tukihamia kule Italia SERIE A pia itapigwa leo Atalanta baada ya kupata ushindi mnono mechi iliyopita leo hii atakuwa mgeni wa Venezia ambaye ndiye kibonde wa ligi hadi sasa akiambulia pointi 4 pekee kwenye mechi 7 ambazo kacheza. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri sasa.

Wakati US Lecce yeye atamenyana dhidi ya Fiorentina ambapo timu hizi zimetofautina pointi 5 pekee. Mgeni anataka kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi ya mwisho walipokutana. Na kule Meridianbet wanampa nafasi hiyo ya kushinda De Gea na wenzake kwa ODDS 2.30 kwa 3.14. Wewe unampa nani ushindi huu?. Jisajili sasa.

Bingwa mtetezi Inter Milan atakuwa na kibarua cha kukiwasha dhidi ya AS Roma ugenini ambapo mwenyeji akihitaji ushindi huu leo nyumbani baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita. 4.21 kwa 1.81 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri hapa sasa.

Leave a Comment