Rais Samia Aongoza Kikao Baraza la Mawaziri Ikulu Ndogo ya Tunguu Zanzibar
Global Publishers October 25, 2024 0 Comments
SHARE THIS:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akielekea kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar tarehe 25 Oktoba, 2024.Rais Dkt. Samia akielekea kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar tarehe 25 Oktoba, 2024.
Rais Dk Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar tarehe 25 Oktoba, 2024.
RAIS MWINYI na MKEWE WALIVYOTISHWA na VIJANA wa MAKACHU – UTAPENDA VIJANA WANAVYOJIACHIA HEWANI…