
Msanii wa Sanaa ya Muziki nchini Lulu Diva amefunguka na kumjibu Hemed PHD mara baada ya PHD kufunguka kupitia Global TV kuwa hana ugomvi na Lulu Diva.
@gabbymtanzania80 amefanya juhudi ya kufanya mawasiliano na Lulu Diva kufunguka undani wa siala hilo na baadhi ya mambo aliyoyazungumza Hemed PHD.