Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuongeza saa 24 za uokoaji katika jengo lililopolomoka eneo la Kariakoo.