×

Shimo Lililotumika Kuwaokoa Watu Kariakoo, Msemaji wa Serikali Afunguka! – Video

Mkurugenzi wa Idara ya Habari – Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Thobias Makoba akionyesha baadhi ya njia ambazo hutumika na vikosi na wataalam katika kufanya zoezi la uokoaji kwenye ghorofa lililoanguka Jumamosi Novemba 16, 2024 Kariakoo jijini Dar Es Salaam.

Leave a Comment