Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka.