×

Gazeti la Betika Ndani ya Jiji la Arusha

KATIKA kile kinachoonekana kushika kasi, Gazeti la Betika limeendelea kushika kasi na wiki hii lilifika mitaa ya Arusha.

Gazeti hilo la bure ambalo utolewa kwa wasomaji wenye umri kuanzia miaka 18, lilipokelewa vizuri na wakazi wa mitaa mbalimbali ya Arusha waliokuwa wakifurahia elimu na dondoo kuhudu kubeti ambavyo vyote vinapatikana ndani ya Betika.

 

Wanaohitaji kutangaza na gazeti hilo la bure ambalo limesheheni matangazo, wawasiliane na wahusika kupitia namba 0755826488 na 0712595636 au kupitia barua pepe [email protected].

Pia mhusika anaweza kufika Sinza Mori kwenye jengo letu la Global Group.

Wateja wa matangazo ya Betika pia wanapata ofa ya kutangaziwa biashara zao kwenye mitandao mingine ya kijamii inayomilikiwa na Kampuni ya Global Publishers kwenye Instagram, Facebook, Twitter na Global TV Online.

 

Leave a Comment