Msanii wa Bongo Movie Aunty Ezekiel amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa desturi ya kuficha ujauzito ni mambo yamepitwa na wakati na ya kishetani ndiyo maana hakuona sababu yoyote ya yeye kuficha mimba yake hii ya tatu na mtoto siku ya kwanza tu atamuonesha.