The House of Favourite Newspapers

Nawachana yawakutanisha Jux, Ben pol

1

ben jux

Ben Pol    &     Jux 

Na Boniphace Ngumije

WAKALI wa R&B, Jux na Ben Pol wamekutana na kufanya ngoma moja inayokwenda kwa jina la Nawachana wanayotarajia kuiachia mapema wiki hii.

Akizungumza na paparazi wetu, Ben Pol alisema kuwa wimbo huo umekuja baada ya mashabiki wao kutaka wafanye traki pamoja na kuongeza kuwa imekamilika na kila mmoja ameonesha uwezo wake.

“Ni wimbo wetu wote kila mmoja ameonesha uwezo wake, sasa hivi tunachomalizia tu ni video yetu ikikaa poa tunaiachia,” alisema Ben Pol.

1 Comment
  1. fuenzenol says

    Notify me of new posts by email. Where such information?

Leave A Reply