×

Fountain Gate Yamtimua Kocha baada ya kipigo cha 5-0 Dhidi Yanga

Klabu ya Fountain Gate FC imetangaza leo Desemba 29, 2024 kuvunja benchi la ufundi la klabu hiyo lililokuwa likinolewa na Kocha Mohamed Muya.

Taarifa hiyo imetolewa baada ya kumalizika kwa mchezo wao dhidi ya Yanga SC, ambapo walipoteza kwa goli 5 – 0 katika dimba la KMC Complex, Dar es Salaam.

Leave a Comment