×

Mapya! Chief Godlove Aanika Kuhusu Bodaboda ”Alipewa Mtoto Ndani – Hakupewa Mtaani” – Video

Mfanyabiashara maarufu kwenye mitandao ya kijamii aitwaye Chief Godlove amefunguka kupitia kipindi cha Katambuga ya @255globalradio na @globaltvonline na kueleza kuwa mama yake Greyson alipambana kuhakikisha mtoto wake aishi katika mazingira mazuri na maisha mazuri kwa jumla.

Leave a Comment