×

Simba Kukiwasha Dhidi ya SC Sfaxien leo Kombe la Shirikisho

Mnyama Simba leo anashuka katika Dimba la Stade Olympique Hammadi Agreb nchini Tunisia kukipiga dhidi ya SC Sfaxien katika mchezo wa Kundi A katika mashindano ya majira ya saa 1:00 usiku.

Katika mechi ya kwanza kati ya timu hizo iliyochezwa jijini Dar es Salaam katika Dimba la Benjamin Mkapa, Kibu Denis ‘Mkandaji’ aliwatundika SC Sfaxien mabao mawili na kufanya mchezo umalizike kwa ushindi wa 2-1.

Simba inashika nafasi ya tatu katika kundi hilo, ikiwa na alama 6 huku Sfaxien ikiburuza mkia ikiwa haina point hata moja.

MJANE wa KING KIKII kwa UCHUNGU – “MAUMIVU HAYAPOI – NAMKUMBUKA KILA SIKU”……

Leave a Comment