Mjane wa King Kikii Afunguka Kuhusu Mumewe, Walipata Watoto – Video
Global Publishers January 5, 2025 4,604 views 0 Comments
SHARE THIS:
Mjane wa marehemu King Kikii amefunguka kupitia Global Tv na kueleza kuhusiana na ndoa yake, ambapo ameeleza kuwa yeye na mumewe walipata watoto kabla ya kufunga ndoa.