×

Waziri Gwajima Ampongeza Lilian Mwasha kwa juhudi zake za kuwalinda watoto wa kiume

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima, kupitia ukurasa wake wa Instagram amempongeza mtumishi wa Mungu, mwandishi wa vitabu na mtangazaji, Lilian Mwasha kwa juhudi zake za kuendelea kuwalinda watoto wa kiume (boy child) dhidi ya matukio ya mmomonyoko wa maadili.

Waziri Gwajima ametuma chapisho refu kwenye ukurasa wake wa Instagram akionesha kuguswa na harakati anazoendelea kuzifanya Mwasha katika siku za karibuni, huku akipongeza kuunganishwa kwa jamii kupitia neno la Mungu na kusimamia ustawi wa jamii kwa jumla.

MBUNGE ERIC SHIGONGO AFUTA MACHOZI ya WANA KOME – “TUNAANZA na GARI TUNAFUATA AMBULANCE ya MAJINI”..


 

Leave a Comment