Yanga wamekwea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu bara kufuatia ushindi mnono wa 6-1 dhidi ya Ken Gold Fc katika dimba la KMC Complex huku Clement Mzize akikwea kileleni mwa mbio za ufungaji bora baada ya kufikisha magoli 9.
FT: Yanga Sc 6-1 Ken Gold Fc
⚽ 02’ Dube
⚽ 06’ Mzize
⚽ 39’ Pacome
⚽ 43’ Mzize
⚽ 46’ Dube
⚽ 85’ Abuya
⚽ 86’ Bwenzi
MBIO ZA UFUNGAJI BORA
1. 🇹🇿 Mzize 9
2. 🇰🇪 Rupia 8
3. 🇨🇲 Ateba 7
4. 🇨🇮Ahoua 7
5. 🇨🇮 Pacome 7
6. 🇿🇼 Dube 7