×

Rais Samia Ajumuika na makundi maalum kwenye Iftar Chake chake, Zanzibar

Rais Samia Suluhu Hassan Machi 25, 2025 amejumuika na viongozi wa siasa, serikali, dini na makundi maalum kwenye Iftar aliyowaandalia katika viwanja vya kufurahisha watoto vya Tibirinzi, Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar.