×

Nafasi Za Kazi 51 MDAs NA LGAs, Mwisho maombi Aprili 7, 2025

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara zinazojitegemea na Wakala wa Serikali pamoja na Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka ya Serikali za Mitaa (MDA’s & LGA’s) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 51 kama ilivyoainishwa katika
tangazo hili.

Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 07 Aprili, 2025