×

Bunge la Bajeti Kuanza Kuunguruma kesho Jumanne, April 8, 2025

Mkutano wa kumi na tisa wa bunge la Kumi na Mbili unatarajiwa kuanza kesho Jumanne, April 8, 2025, ukiwa ni mahsusi kwa mwaka wa fedha 2025/2026.