
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mengine (COPRA), kwa kushirikiana na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, anawaalika Watanzania wenye sifa stahiki, walio na uzoefu, weledi, ufanisi na uhamasishaji wa hali ya juu kuomba nafasi moja (1) ya kazi iliyo wazi ya Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Umma na Mawasiliano.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 20 Aprili, 2025.

