×

Rais Dkt. Samia Ahutubia Bunge la Jamhuri ya Angola Jijini Luanda -Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Angola Jijini Luanda.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Aprili, 2025 amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Angola Jijini Luanda katika muendelezo wa Ziara yake ya Kiserikali nchini humo.