×

Hamisa Mobetto Atoa Ushauri Mzito Kwa Paula Akitaka Kuolewa – Video

Msikilize mwanadada Hamisa Mobetto akitoa ushauri kuhusu ndoa kwa Marioo na Paula ambao hapo jana walikuwa wakiadhimisha mwaka mmoja tangu kuzaliwa kwa mtoto wao, Amara