Waziri Doroth Gwajima akiwasili Super Dome, Masaki inakofanyika event ya utoaji tuzo kwa waandishi wa habari za Samia Kalamu Awards.
Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.