Mwili wa Hayati Cleopa Msuya Waagwa Kwa Heshima Mwanga, Kilimanjaro – Picha
Global Publishers May 12, 2025
SHARE THIS:
Viongozi mbalimbali wa Serikali na wananchi wameaga mwili wa aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Cleopa David Msuya, katika viwanja vya David Cleopa Msuya, Wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro, leo tarehe 12 Mei 2025.
Viongozi mbalimbali wa Serikali na wananchi wakiaga mwili wa aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Cleopa David Msuya, katika viwanja vya David Cleopa Msuya, Wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro, leo tarehe 12 Mei 2025.