
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemuachia Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima kwa dhamana.
Askofu Josephat Gwajima alikuwa akishikiliwa na jeshi hilo tangu juzi Alhamisi kwa tuhuma za kuhusihwa na baiashara ya madawa ya kulevya.
Gwajima aliripoti kituoni hapo Alhamisi pamoja na Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji (wote walishikiliwa) wakiwa ni miongoni mwa watuhumiwa 65 wa waliotajwa na RC Makonda kujihusisha na biashara hiyo haramu. Aidha Gwajima anatakiwa kuripoti kituoni hapo Jumatatu Februari 13, 2017.
Taarifa za chini kwa chini zimeeleza kuwa, huenda muda mfupi ujao Manji naye akaachiwa.
Kwa stori zote kali, Tu-follow
Facebook @Globalpublishers
Twitter @GlobalHabari
Instagram @GlobalPublishers
YouTube @GlobalTVTZ
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI