×

Jemedari: Yanga Wabaki Na Msimamo Wao, Bodi Na TFF Watachukua Hatua -Video


Mchambuzi wa soka nchini, Jemedari Said ameeleza kuwa wanapaswa kutuambia Kiongozi aliyepiga simu kusababisha yote hayo kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe.

Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.