×

Shinda Samsung A25 Kupitia Promosheni ya Super Heli

Kampuni namba moja ya michezo ya kubashiri nchini, Meridianbet, inaendelea kuonesha kwa vitendo kwa nini inaaminika na kupendwa na Watanzania. Mwezi huu wa Juni, wamezindua promosheni kabambe iitwayo “Paa na Super Heli, Shinda Samsung A25” maalum kwa mashabiki wa mchezo wa kasino mtandaoni Super Heli.

Kupitia promosheni hii, wachezaji wanapata nafasi ya kujishindia simu mpya ya kisasa ya Samsung A25. Simu hizi zitatolewa kila siku ya Jumatatu, ikiwa ni njia ya kipekee ya Meridianbet kuwashukuru na kuwathamini wateja wao waaminifu.

Jinsi ya Kushiriki:

Jisajili au ingia kwenye akaunti yako kupitia Meridianbet.co.tz au kupitia app ya Meridianbet.

Hakikisha akaunti yako imesajiliwa kikamilifu, na umeshiriki kucheza Super Heli kati ya tarehe 01 hadi 30 Juni, 2025.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# Au tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Cheza mara nyingi zaidi kwani kila mchezo unaongeza nafasi yako ya kushinda.

Zawadi Zinazotolewa:

Kila Jumatatu, washindi wawili (02) watakabidhiwa simu mpya ya Samsung A25.

Jumla ya washindi nane (08) watavuna zawadi hii katika kipindi cha majuma manne ya mwezi Juni.

Vitu Muhimu vya Kumbuka:

Promosheni hii ni maalum kwa wateja wa Meridianbet waliopo Tanzania.

Meridianbet inahifadhi haki ya kufanya mabadiliko au kusitisha promosheni hii bila kutoa taarifa ya awali.

Masharti ya kawaida ya bonasi na matumizi ya Meridianbet yatazingatiwa kikamilifu.

Kwa mashabiki wa kasino na michezo ya kubashiri mtandaoni, hii ni nafasi yako ya kipekee ya kutinga na Samsung A25 mpya, bila gharama yoyote ya ziada. Cheza Super Heli, pata nafasi yako, na ukae tayari kwa ushindi kutoka Meridianbet.