
Daina Elias Sichalwe amechukua fomu ya kuwania UBUNGE kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika
Jimbo la Tunduma.
Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani.