×

Mbowe Aibukia Kanisani Kwa Mchungaji Kimaro

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Freeman Mbowe

Mara baada ya ukimya wa muda mrefu, Freeman Mbowe — aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) — ameibukia kanisani kwa Mchungaji Kimaro katika Kanisa la KKKT Kijitonyama, jijini Dar es Salaam.

Tukio hilo limetokea Jumapili, Julai 6, 2025, ambapo Mbowe alionekana akiwa mbele ya Madhabahu ya Bwana, na kutoa neno fupi la faraja na mshikamano kwa waumini waliohudhuria ibada hiyo.

Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV — usisahau ku-like, ku-comment na ku-subscribe ili uendelee kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.